Channel ya #tor-project ni sehemu ambapo watu wa Tor hufanya mazungumzo na huratibu kazi za Tor za kila siku. Ina wanachama wachache zaidi ya #tor na imejikita zaidi katika kutenda kwa mikono. Unakaribishwa kujuiunga na channel hii. Ili kupata #tor-project, nickname yako inapaswa kusajiliwa na kuthibitishwa.
Hapa ni jinsi ya kufikia #tor-project na njia zingine za usafirishwaji zilizosajiliwa.
Sajili nickname yako
ingia kwa #tor. angalia ni jinsi gani ntawasiliana na Tor Project teams?
Halafu, bonyeza kwenye neno "Status" upande wa juu kushote kwenye kioo cha mbele.
kwenye kompyuta yako bonyeza chini ya ukurasa, andika **/msg nickserv SAJILI jina lako na neno siri la anwani yako
Gonga enter.
kama zote zikienda vizuri, utapokea ujumbe kuwa umesajiliwa.
Mfumo unaweza kusajili nick_ yako badala ya nick yako.
Ikiwa ndivyo, endelea na hivyo lakini kumbuka wewe ni mtumiaji_ na si mtumiaji.
Kila muda unapoingia katika IRC, kutambua usajili wako wa jina bandia, andika:
/nick yournick
/msg nickserv IDENTIFY YourPassWord
Ninawezaje kuthibitisha nickname yako
Baada ya kusajili nickname yako, ili kupatikana katika #tor-project na njia zingine za usafirishwaji zinazolindwa, nickname yako lazima iwe verified.
- Nenda kwenye https://services.oftc.net/ na fuata hatua katika sehemu ya 'kuhakiki akaunti yako'
Rudi kwenye ukurasa wa wavuti wa IRC ambapo umesajiliwa na uandike:
/msg nickserv checkverify
Bofya ENTER.
Ikiwa yote yapo sawa, utapokwa ujumbe unaosema:
*!NickServ*checkverify
Usermodechange: +R
!NickServ- Successfully set +R on your nick.
Jina lako bandia limethibitishwa!
Sasa, kujiunga na #tor-project, unapaswa kuandika:
/join #tor-project
na gonga enter.
Utaruhusiwa kuwa katika channel. ikiwa umeambia, Hongera!
Hata hivyo, ikiwa unakwama, unaweza kuomba msaada katika #tor channel.
Unaweza kubadilisha kati ya vituo kwa kubonyeza majina tofauti ya kituo kwenye upande wa kushoto juu ya window ya IRC.