F-Droid / F-Droid

F-Droid ni saraka ya FOSS (free and open source software) programu tumizi ya Android. Kama vile Google Play mtu anaweza kuvinjari, kusanikisha na kufuatilia masasisho kwenye kifaa kwa kutumia F-Droid. Tor Browser is available on F-Droid. Follow these steps if you prefer installing the app through F-Droid.