Bridges are distributed via six mechanisms : HTTPS, Moat, Email, Telegram, Settings and Reserved.
Waendeshaji wa Bridge wanaweza kuangalia njia zipi za kutumia bridge zao, katika Relay Search.
Ingiza bridge's <HASHED FINGERPRINT>
katika aina na bofya "Search".
Muendeshaji unaweza pia kuchagua njia ipi ya usambazaji kwa watumiaji wake wa bridge.
To change the method, modify the BridgeDistribution
setting in the torrc file to one of these: https, moat, email, telegram, settings, lox, none, any.
You can find a description of each distributor in the Bridge distribution documentation.
Soma zaidi juu ya muongozo wa Bridges post-install.